YOU ARE NOT ALONE

"I can’t give solutions to all of life’s problems, doubts, or fears. But I can listen to you, and together we will search for answers."

karibuni

Karibuni katika blog yetu ambayo itakuwa ikizungumzia kuhusu masuala ya uzazi hasa kwa wale wenye matatizo ya kuchelewa kupata watoto (infertility). Hapa tutajadili chanzo cha matatizo hayo na njia zinazoweza kutumika kuondoa tatizo hilo pamoja na kupeana ushauri na nasaha katika masuala mbalimbali yanayohusu uzazi. "KWA NEEMA YA MUNGU KILA MWANAMKE ATANYONYESHA"

Thursday 12 April 2012

Safari ya wasaka, Kikosi kamili

Baada ya maandalizi kukamilika na wasaka wote kuiweka siri kibindoni, ninawatambulisha kwenu kikosi kamili kama inavyoonesha hapo chini.
M   -     inawakilisha msaka/mpiganaji
1-10 -    ni namba tu ambazo nimeziweka ili nipate mtiririko mzuri na muelewe kirahisi, hakuna mpangilio maalum (wazungu wanasema "in no particular order"). Namba hizi zitatumika kwa muda wote wa safari.

M1 -  Chaby  (msaka mimi, ze kepten)
M2 -  Desparateme
M3 -  Severina Eugen
M4 -  Pino
M5 -  Dia
M6 -  Shelyc
M7 -  Asnath
M8 -  Mwanjy
M9 -  Shanice
M10- Subira
nimesema haachwi mtu jamani tutajiburura mradi tufike pamoja, kwa neema ya mungu kila mwanamke atanyonyesha.  Kujua chanzo cha safari ingia hapa STORY YANGU  na ingia hapa kuona tulianzaje kama team safari ya wasaka, kujua yatakayojiri usiende mbali, kuwa pamoja nasi kwa sala na dua.

4 comments:

  1. Nimeipendaje hii post.Thanks Chaby kwa post yaani hakuna kubaki nyuma lazima ninyonyeshe.

    ReplyDelete
  2. Mwendo mdundo, Mungu atuangazie nasi huu uwe mwaka wetu! Every thing will be ok at the end, if its not ok, its not the end!

    Desparateme

    ReplyDelete
  3. kwa uwezo wa Mungu naamini mwaka huu wetu na hatimae tutanyonyesha kwa kweli..mungu atatimiza haja ya mioyo yetu.Tutapambana mpaka kieleweke kwakweli.kikosi kinazidi kusonga mbele kwa mapambano makali zaidi!

    Severina!

    ReplyDelete
  4. Kiukweli kwa Uwezo wa Mungu atajaalia wote tutafikia yale malengo yetu tunayohitaji toka kwake. Naamini tutashinda. Kikubwa tusikate tamaa

    ReplyDelete