YOU ARE NOT ALONE

"I can’t give solutions to all of life’s problems, doubts, or fears. But I can listen to you, and together we will search for answers."

karibuni

Karibuni katika blog yetu ambayo itakuwa ikizungumzia kuhusu masuala ya uzazi hasa kwa wale wenye matatizo ya kuchelewa kupata watoto (infertility). Hapa tutajadili chanzo cha matatizo hayo na njia zinazoweza kutumika kuondoa tatizo hilo pamoja na kupeana ushauri na nasaha katika masuala mbalimbali yanayohusu uzazi. "KWA NEEMA YA MUNGU KILA MWANAMKE ATANYONYESHA"

Thursday 15 March 2012

JIACHE: Positive Test result

kwa wale wasaka wenzangu, najua twaisubiri kwa hamu saaaaaaana, itafika very soon, be positive
Hebu jiachie uniambie itakuwaje siku hii?


Hakuna  lisilowezekana chini ya jua, na ukipata matitabu sahihi infertiility inatibika.
"kwa neema  ya mungu kila mwanamke atanyonyesha."

5 comments:

  1. yaan chaby naisubri kwa hamu af napata na woga kwani naona kama utani hivi lakini ndio hali halisi,wasaka wenzangu tusikate tamaa mwezi huu wetu.

    ReplyDelete
  2. amen mwaka huu wetu hakuna aliyetasa wala mwenye kuharibu mimba. Jamani asante kwa kututia moyo jamani Mungu tunayemwabudu akubariki najua Mungu kupitia wewe tutafanikiwa lakini naona kama anachelewa

    ReplyDelete
  3. Yaani mie nitatembea peku toka hospital maana nitaona kama vile ninamuumiza mtoto,halafu napitia kununua tenite naanza kuvaa siku hiyo hiyo nitamshukuru Mungu sanaaaaa...

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahha Mwanashelyc umenifurahisha sana!!,tumehangaika sana jamani,sasa Mungu amesikia kilio chetu.

      Delete
  4. Jamani mimi naona nitazimia hapo hospitali nistuka nitaliaaaaaaaaaa sana kwa furaha!

    ReplyDelete