YOU ARE NOT ALONE

"I can’t give solutions to all of life’s problems, doubts, or fears. But I can listen to you, and together we will search for answers."

karibuni

Karibuni katika blog yetu ambayo itakuwa ikizungumzia kuhusu masuala ya uzazi hasa kwa wale wenye matatizo ya kuchelewa kupata watoto (infertility). Hapa tutajadili chanzo cha matatizo hayo na njia zinazoweza kutumika kuondoa tatizo hilo pamoja na kupeana ushauri na nasaha katika masuala mbalimbali yanayohusu uzazi. "KWA NEEMA YA MUNGU KILA MWANAMKE ATANYONYESHA"

Wednesday 21 March 2012

Special Dedication; kwa wanawake wote ambao wana matatizo ya uzazi

nimekutana na  wimbo huu ambao ni Dedication kwa wanawake wote duniani wanaopambana na majaribu ya kukosa mtoto. Nami  nautoa kwa wasaka wenzangu wote ambao wanajitambua, wasiokata tamaa, wanaoendelea kupambana na  kujaribu kwa kila ambalo lipo ndani ya uwezo wao. pamoja na jitihada zote na kuwa bado hujafanikiwa usikate tamaa na kujiona hufai, daima kumbuka kuchelewa kwako kupata mtoto hakubadilishi uwanamke wako. ukiwa na imani na tamaa utafanikiwa

No comments:

Post a Comment