YOU ARE NOT ALONE

"I can’t give solutions to all of life’s problems, doubts, or fears. But I can listen to you, and together we will search for answers."

karibuni

Karibuni katika blog yetu ambayo itakuwa ikizungumzia kuhusu masuala ya uzazi hasa kwa wale wenye matatizo ya kuchelewa kupata watoto (infertility). Hapa tutajadili chanzo cha matatizo hayo na njia zinazoweza kutumika kuondoa tatizo hilo pamoja na kupeana ushauri na nasaha katika masuala mbalimbali yanayohusu uzazi. "KWA NEEMA YA MUNGU KILA MWANAMKE ATANYONYESHA"

Monday 20 February 2012

JIACHIE : Negative Test Result

Hivi mdau unajisikiaje pale unapokuwa na tamaa na ikifika mwisho wa mwezi unakuta kitu holaaaaa!!!!
JIACHIE... hii ni sehemu ya kutoa dukuduku lako moyoni, ili wadau wakusikilize na kukupa ushauri, mawazo na kukutia moyo. Usijali mpendwa hauko peke yako na kumbuka iko siku zamu yako itafika

1 comment:

  1. uwa inaumiza sana kwa kweli mie binafsi mpaka nalia coz unasema yap kitu tayari.Mwisho wa siku unakuta hakuna kitu inakera sanaaa wajua.

    Na mwanaume hapo anakutoa thamani anasema haa mie nilidhan tayari kumbe ww muongo tu,unanisumbua mara embe or chungwa.

    ReplyDelete