Yes, I will fight... I knock it once and I will do again. My status now is upgraded, from Primary infertile to Secondary Infertile. What a tittle??? Senior Infertile..... Sound good eeeehh!!! hahaha
YOU ARE NOT ALONE
"I can’t give solutions to all of life’s problems, doubts, or fears. But I can listen to you, and together we will search for answers."
karibuni
Karibuni katika blog yetu ambayo itakuwa ikizungumzia kuhusu masuala ya uzazi hasa kwa wale wenye matatizo ya kuchelewa kupata watoto (infertility). Hapa tutajadili chanzo cha matatizo hayo na njia zinazoweza kutumika kuondoa tatizo hilo pamoja na kupeana ushauri na nasaha katika masuala mbalimbali yanayohusu uzazi. "KWA NEEMA YA MUNGU KILA MWANAMKE ATANYONYESHA"
Tuesday, 15 May 2012
Friday, 11 May 2012
KUELEKEA SIKU YA WAMAMA DUNIANI*** SPECIAL DEDICATION KWA WASAKA WOTE
Katika kuelekea siku ya wamama duniani, naomba nitoe wimbo huu kama maalum kwa wasaka wote. wimbo huu unaonesha ni kiasi gani kila mwanamke anahitaji kuwa mama na kuwa na familia, hii ni kutokana na heshima tunazopewa na mama zetu, na faraja tunazozipata kwa kuwa nao. Hivyo nasi tunatamani kuwa kama wao. Tunawasukuru mama zetu kwa kutuzaa, kutulea vizuri na kwa mapenzi yote mnayoendelea kutuonyesha, tunawaomba wamama na wanawake wote mtupe sapoti katika safari yetu hii kwa kila njia inayowezekana ili sote mwakani tuwe tunaitwa Mama. YES..... i would die for that.
SHUKRANI MAALUM KWA MAMA YANGU MZAZI, NAJUA UNANIPENDA NA KUNISAIDIA KWA KILA HALI, ILA UKWELI SIKUJUA NI KIASI GANI ULIKUWA UKIUMIA KWA KUCHELEWA KWANGU KUPATA MTOTO HADI SIKU NILIYOJIFUNGUA NA KUNIAMBIA KUWA ULIWEKA NADHIRI KIKIZAA UTASOMA MAULID NILIPATWA NA MSHANGAO NA SIKUJUA NIKUAMBIE NINI. AHSANTE SANA MAMA, YOU ARE THE BEST, LOVE YOU SOOOOO MUCH.
JIACHIE: Unapokutana na vitu vya watoto madukani unajisikiaje?
katika kitu ambacho huwezi kukiepuka ni kuona vitu vya watoto, hasa ukiwa ni mtu unaependa kutembea sana madukani. hebu mdau leo funguka useme unavyojisikia pale unapokutana navyo....
pangine familia haikuelewi, wakwe ndio usiseme, huenda hata na mume nae hakusomi vizuri. kwanini ufe na tai shingoni!!! jiachie shosti hapa ndio penyewe, mwanamke na uzazi ipo kwa ajili yako.

pangine familia haikuelewi, wakwe ndio usiseme, huenda hata na mume nae hakusomi vizuri. kwanini ufe na tai shingoni!!! jiachie shosti hapa ndio penyewe, mwanamke na uzazi ipo kwa ajili yako.

basi niwaambie ya kwangu; msinicheke lakini.. au nijicheke mwenyewe? hahahaahha!!
kuna siku mwenzenu nilienda mlimani city wakati bado mpya mpya, na mimi wakati huo ndio nasaka kwa kwenda mbele, nikajidai kuingia game na mimi nikashangae lol!!! basi nikatembea tembea nikakutana na ile section ya watoto, na wanavyojua kupanga vitu vizuri basi, nikajisogeza duh nikaona vitu vizuriiiii lakini ndio sina uwezo wa kuvinunua. Jamani mwenzenu niliganda pale nilipokuwa kama nimewekwa super glue, miguu hata kunyanyua siwezi, nikahisi kama kitu kimenikaba rohoni na machozi yanataka kunitoka, nikamuona muhudumu anatembea kuelekea nilipo mimi basi ikabidi nijikaze nikafanya kama natoa kitu machoni kumbe nafuta machozi huyoooo nikaishia zangu na mlimani city hapakukalika tena
Sunday, 6 May 2012
WAIT
By Russell Kelfer
Desperately, helplessly, longingly, i cried;
Quietly, patiently, lovingly, God replied.
I pled and I wept for a clue to my fate...
And the Master so gently said, "Wait."
"Wait? you say wait?" my indignant reply.
"Lord, I need answers, I need to know why!
Is your hand shortened? Or have you not heard?
By faith I have asked, and I'm claiming your Word.
"My future and all to which I relate
Hangs in the balance, and you tell me to wait?
I'm needing a 'yes', a go-ahead sign,
Or even a 'no' to which I can resign.
'You promised, dear Lord, that if we believe,
We need but to ask, and we shall receive.
and Lord I've been asking, and this is my cry;
I'm weary of asking! I need a reply."
Then quietly, softly, I learned of my fate,
As my Master replied again, "Wait"
So I slumped in my chair, defeated and taut,
And grumbled to God, "So, I'm waiting for what?"
He seemed then to kneel, and His eyes met with mine...
and He tenderly said, "I could give you a sign.
I could shake the heavens and darken the sun.
I could raise the dead and cause mountains to run.
I could give all you seek and pleased you will be.
You'd have what you want, but you wouldn't know Me.
You'd not know the depth of my love for each saint.
You'd not know the power that I give to the faint.
You'd not learn to see through clouds of despair;
You'd not learn to trust just by knowing I'm there.
You'd not know the joy of resting in Me.
When darkness and silence are all you can see.
You'd never experience the fullness of love
when the peace of My spirit descends like a dove.
You would know that I give, and I save, for a start,
But you'd not know the depth of the beat of My heart.
The glow of my comfort late into the night,
The faith that I give when you walk without sight.
The depth that's beyond getting just what you ask
From an infinite God who makes what you have last.
You'd never know, should your pain quickly flee,
What it means that My grace is sufficient for thee.
Yes, your dearest dreams overnight would come true,
But, oh, the loss, if you missed what I'm doing in you.
So, be silent, my child, and in time you will see
that the greatest of gifts is to truly know me.
And though oft My answers seem terribly late,
My most precious answer of all is still...Wait"
Source: www.donnarosestewart.com

NIMERUDI
Habari wapendwa, samahani kwa kutokuwa nanyi kwa muda, nilizidiwa kidogo na majukumu ya kikazi, kifamilia na pia nilipatwa na msiba wa kaka yangu. Kwa muda wote wote huo mlikuwa mawazoni mwangu na nikaahidi nikipata nafasi tu nitaandika niwajulishe kuwa tuko pamoja.
Kwanza niwape mrejesho wa ile siri yetu, tulifanikiwa kuipata na kila mmoja wetu kati ya wasaka 10 (kama ulitusahau ingia hapa kikosi kamili) anaendelea na mapambano. Mimi binafsi nilishatumia mwezi uliopita na sasa nimerudia mara ya pili nasubiri matokeo... kujua zaidi kuhusu kitakachojiri usikose kusoma ile sehemu yetu pendwa "SAFARI YA WASAKA". Bila kusahau, maombi na dua zenu bado zinahitajika kwa saaana.
Subscribe to:
Posts (Atom)